NEWZ:- ASKOFU MOSES KULOLA AFARIKI DUNIA

Habari Tulizozipata punde katika chumba chetu cha Habari zinasema Askofu Moses Kulola wa kanisa la EAGT amefarika Dunia baada ya kuugua. Habari kupitia Mtandao wa CITE zinasema amefariki leo asubuhi na habari hizi zimethibitishwa na Mtoto wake Mchungaji Daniel Kulola.

Tutazidi kukupa habari kadri tunavyozipata.

Poleni watanzania kwamsiba huu Mkubwa.
Endelea kufuatilia blog hii kwa habari zaidi

Post a Comment

Previous Post Next Post