PICHA:- SHEIKH PONDA AKIWA HOI HOSPITALI BAADA YA KUDAIWA KUPIGWA RISASI JANA


 
Sheikh Ponda akiwa katika hospitali ambayo haitajwi jina lake anakoendelea na matibabu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa alipigwa risasi jana akiwa mjini Morogoro alikokuwa ahutubie kwenye mhadhara wa kidini.

Begani ni mahali ambako inaelezwa kuwa risasi hiyo ilimpata

 Sheikh Ponda leo akiwa HOSPITALINI akisubiri matibabu baada ya kupigwa Risasi huko Morogoro

Post a Comment

Previous Post Next Post