Sean Kingston na walinzi wake (Bodyguard) wamemla mtungo msichana (20) aliekuwa amelewa, katika chumba cha Hoteli, 2010.
Carissa Capeloto ambae kwa sasa ana
miaka 22, anadai kulazimishwa kufanya ngono na Sean, walinzi wake na
member wa bendi ya Sean katika hoteli iliyoko Seattle, Julai, 2010,
baada ya yeye kuvuta bangi na kufuta shots 7-10 za vodka.
Capeloto - ambaye amewashitaki watu wote
3, anadai alialikwa katika chumba cha hoteli hiyo na Kingston kwa
kukutana-na-kusalimiana (meet and greet) kufuatia tamasha la Bieber,
ambapo Kingston pia alikuwa aki- perform, lakini wakati alipofika
chumbani, Kingstone alikuwa ameshatupa kule kila kilichokuwa mwilini
mwake (naked) yuko juu ya kitanda akimsubiri
Capeloto amedai kuwa mlinzi alimnyanyua
na kumuweka juu ya Kingston, na wote watatu waliendelea kumbaka wakati
yeye alikuwa "ni wazi amelewa, na kutokuwa na uwezo wa kutoa ridhaa."
Capeloto anasema rafiki yake baadaye
aliingia katika chumba na kumuokoa. Polisi waliitwa na Capeloto
alipelekwa hospitali ambapo anasema yeye alikuwa akitibiwa kwa majeraha
ya kimwili sambamba na ubakwaji.
Anasema maisha yake yameharibiwa, halali vizuri usiku, ana mood swings na anadai fidia ya dola mil 5 kima cha chini.
Kingstone amepeleka documents za kisheria zinazodai kuwa ngono waliofanya ilikuwa ni makubaliano kwa asilimia 100.
Kesi inatarajiwa kusikilizwa mwezi wa 9.
Post a Comment