Video:- CIARA AKONGA NYOYO ZA WATU LAS VEGAS KWENYE POOL PARTY-JIONEE MWENYEWE
Hisia0
Bada ya watu kusema kuwa ameisha kimuziki baada ya kutemwa na
Interscope,Ciara azidi kudhihirisha kuwa bado saaaaaaana,angalia Juzi
alivyo wanengulia Las Vegas kimtindo.
Post a Comment