Watanzania 18 wafadhiliwa na Brazil, China kusomea mafuta na gesi

Picture
Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (watatu kushoto) katika picha ya pamoja na baadhi ya vijana waliopata ufadhili wa masomo ya shahada ya uzamili katika fani ya mafuta na gesi kutoka Serikali ya watu wa China. Pia, wanafunzi wengine 10 wamepata ufadhili wa masomo kama hayo kutoka Serikali ya Brazil. Picha imepigwa mara baada ya kumalizika kwa hafla fupi ya kuwaaga wanafunzi hao iliyofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo uliopo jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

Previous Post Next Post