
Meneja
Ubunifu wa Bidhaa za Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, Jacqueline
Nnunduma (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
jijini Dar, wakati wa kuendesha droo ya tatu ya promosheni ya Tigo ya
Miliki Biashara Yako ambapo mpaka sasa jumla ya wateja 17 wamefanikiwa
kupata zawadi za Baajaji. Kushoto ni Meneja Bidhaa wa Kampuni Simu za
Mkononi ya Tigo, Husni Seif na kulia ni Msimamizi wa Michezo ya
Kubahatisha Abdallah Hemedy.

Meneja
Ubunifu wa Bidhaa za Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo, Jacqueline
Nnunduma akiwasiliana na mmjoa kati ya washindi Saba walioshinda katika
droo ya tatu ya Miliki Biaashara yako.
Washindi
hao ni. Wankaba Makibibi (25), Sunday Juma (30), Adolf Isdory (30),
Idd Mohamed (31), Tito Mkude (51), Abdalah Seleman (25) na Said Khamis.
Post a Comment