
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Kahama James Lembeli
(kushoto) na Mbungewa Mafia, Abdulkarim Shah (katikati) kwenye Ofisi za
Bunge Mjini Dodoma Agosti 28,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar,
Balozi Seif Iddi, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Wabunge wa Upinzani kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo Kutoka kushoto ni Mbunge wa Kigoma
Kusini, David Kafulila, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na
Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia kwenye
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment