DIANA AFUNGUKA(audio) KWA MARA NYINGINE NA KUSEMA KUWA MADAI YA SHEDY KWAMBA NILIKUBALI DEMO YANGU ITUMIWA NA DIAMOND SI YA KWELI - DAYNA

DAYNA

Msanii wa kizazi kipya Dayna ambaye hivi karibuni kumeibuka malumbano yanayodai Diamond kutumia beats ya wimbo wake wa Naumia alioutengeneza kwa prodyuza Shedy na Prodyuza alipoulizwa alisema Dayna alikubali Beats za wimbo wake zitumiwe na Diamond huku akidai kwamba Dayna alikua hajalipia beats ya wimbo wake na hivyo kuamua kumuuzia Diamond ambaye nae bila kuchelewa ameishatoa wimbo wake wa My number one ambao unatamba sasa hivi kwenye vituo vya radio na vituo vya luninga.

Msanii Dayna alipofanya mahojiano na Vijimambo blog alikua na haya ya kusema Msikilize
 
 
 

Post a Comment

Previous Post Next Post