Msiba mzito ulioikuta familia
ya wapenda taarabu nchini kwa kuondokewa na muimbaji maarufu Ahmed
Mgeni, umesababisha ile paty ya birthday pamoja na show ya leo ya bendi
ya Supershine kuahirishwa mpaka pale itakapotangazwa tena.
Akizungumza na mwandishi wa mtandao huu meneja na mratibu wa shughuli hiyo Kais Mussa Kais alisema Ahmed Mgeni ni mtoto wetu Supershine na hata album yake hii mpya ya SITETEREKI ameitengeneza kwetu na alikuwa anaishi kwetu wakati yupo hapa Dar, tutafanya kisomo kwa ajili yake leo saa 10 jioni.

![]() |
Sote njia yetu ni moja Ahmed Mgeni umetangulia sisi tuko nyuma yako mungu akuondoshee adhabu ya kaburi na akupe makazi mema peponi Amen. |
Post a Comment