
Pichani
ni Mwanadada Irene ambaye amekuwa akifanya vyema kwenye anga ya Bongo
Muvi,hapa alikuwa kwenye lokesheni,akiigiza kwenye moja ya filamu yao
mpya na Muigizaji mahiri kutoka nchini Nigeria a.k.a Nollywood aitwaye
Van Vicker,kama walivyonaswa a Globu ya jamii mapema mchana huu kwenye
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar.

Pichani
kulia ni Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania,TAFF akiwa sambamba na
baadhi ya Waigizaji wa filamu hapa nchini,Irene na mdau sambamba na
Muigizaji mahiri wa filamu kutoka nchini Nigeria,Van Vicker wakijiandaa
kushut muvi yao mpya,ambayo bado jina lake halijawekwa hadharani,wakiwa
kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar leo mchana.

Pichani
ni Mzee Hasheem Kambi akiwa na kimwana Irene wakiwa lokesheni wakiigiza
kwenye moja ya filamu yao mpya ambayo hawakuitaja jina,huku mkali wa
kuigiza kutoka nchini Nigeria,Van Vicker akiwa lokesheni wakiigiza kama
walivyonaswa na camera ya Globu ya jamii mapema leo mchana kwenye uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,jijini Dar leo mchana.
Post a Comment