Rais Macky Sall wa Senegal
amemteua mwanamke kuwa waziri mkuu mpya, masaa tu baada ya kumtoa kazini
mwanasiasa aliyemteua aliposhika madaraka mwaka jana.
Bwana Mbaye, aliyewahi kufanya kazi kwenye benki, hakuwa mfuasi wa chama chochote cha kisiasa.
Bi Touré atakuwa mwanamke wa pili kuwa waziri mkuu nchini Senegal - baada ya Madior Boye, aliyeshika wadhifa huo kwa miezi 18 mwaka wa 2001.
Bwana Sall alimshinda Rais Abdoulaye Wade katika uchaguzi wa rais wa March 2012, akiahidi kupambana na umaskini na rushwa. )

Post a Comment