Mzungu wa Marekani aimba wimbo wa Diamond ‘Mbagala’ mwanzo hadi mwisho huku akipiga gitaa - Video
Hisia0
Nassib
Abdul a.k.a Diamond Platnumz aingiwa na imani ya muziki wetu kufika
mbali zaidi baada ya nguli huyo kushuhudia video ya Mmarekani
aliyetambulika kwa jina la Chris Vickio akiimba wimbo wa “mbagala” wote.
Post a Comment