NEWS: NDEGE ZAPATA AJALI KWA KUGONGANA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ZANZIBAR.

NDEGE ya Oman air na Ethipian airlines leo jioni zimegongana katika kiwanja cha ndege cha Zanzibar wakati zikijitaarisha kuruka, ila ajali hii haikuwa kubwa, wakati hayo yakiendelea abiria wa Ehiopian airline wameshushwa na kuweka sehemu ya mapumziko.
Nawatakia kila la kheri wasafiri wote na inshaalah Mwenyezi 
Mungu atawapa wepesi wa katika safari zao. http://www.jestina-george.com
Ndege ya kulia ni ya Ethiopian airlines mayo ndiyo imeivaa Oman air hadi bawa kutoka.

Post a Comment

Previous Post Next Post