Msanii
wa Ghana aishiye nchini Uingereza, Fuse ODG jana alifanikiwa kuwapa
wakazi wa Dar es Salaam mzuka wa Azonto kwa kuangusha show ya
kihistoria. Fuse ODG alisindikizwa na orodha kubwa ya wasanii wa
Tanzania waliomsaidia kufanikisha show hiyo iliyofana na iliyokuwa na
nyomi ya kufa mtu. Tazama picha namna mambo yalivyokuwa.













“Baunsa nae alichezeshwa Azonto

Fuse ODG akichezeshwa kiduku na mmoja wa mashabiki waliopanda kucheza nae

Fuse ODG akifundisha mashabiki waliopanda jukwaani kucheza Azonto

Fuse ODG

Gadna G Habash, MC wa shughuli nzima

Aika na Nah Real wakiwakilisha kundi lao, Navy Kenzo

H-Baba akiwafanya yake


Magenge wakiwa na Dan Msimamo

Nuruel wa BBand alikuwepo

Snura alipiga bonge la show

Tunda Man

Vanessa Mdee akiwa na adancers wake Khadija na Asha

Vanessa akiwa stejini

Wakazi

Wasanii wa B Hitz

Banana Zoro akionyesha manjonjo yake








Nyomi


B-Band


M-Rap

Mabeste

Gosby

Vanessa Mdee na Gosby kwa mbali

Vanessa na Gosby jukwaani



Jux



Jux na Mabeste

Dj Choka

Mabeste na Gosby


Gosby, Pancho na M-Rap




























“Baunsa nae alichezeshwa Azonto

Fuse ODG akichezeshwa kiduku na mmoja wa mashabiki waliopanda kucheza nae

Fuse ODG akifundisha mashabiki waliopanda jukwaani kucheza Azonto

Fuse ODG

Gadna G Habash, MC wa shughuli nzima

Aika na Nah Real wakiwakilisha kundi lao, Navy Kenzo

H-Baba akiwafanya yake


Magenge wakiwa na Dan Msimamo

Nuruel wa BBand alikuwepo

Snura alipiga bonge la show

Tunda Man

Vanessa Mdee akiwa na adancers wake Khadija na Asha

Vanessa akiwa stejini

Wakazi

Wasanii wa B Hitz

Banana Zoro akionyesha manjonjo yake








Nyomi


B-Band


M-Rap

Mabeste

Gosby

Vanessa Mdee na Gosby kwa mbali

Vanessa na Gosby jukwaani



Jux



Jux na Mabeste

Dj Choka

Mabeste na Gosby


Gosby, Pancho na M-Rap















Post a Comment