
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua Kitabu cha Miaka 10 ya Kamati za Bunge
za Hesabu za Serikali kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya
Kusini mwa Afrika(SADCOPAC) baada ya Kufungua Mkutano wa mwaka wa WA
SADCOPAC kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha AICC
Septemba 2, 2013. Kulia kwake ni Spika wa Bunge Anne Makinda.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisindikizwa na Spika wa Bunge, Anne Mkinda
(kulia) na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Ludovic Utouh
baada ya kufungua Mkutano wa Mwaka wa Kamati za Bunge za Hesabu za
Serikali kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa
Afrika (SADCOPAC) kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha
AICC Septemba 2, 2013.
Mzee
wa Kimasai akipuliza zumari wakati kikundi cha ngoma cha wamasai cha
Arusha kilipotumbuiza katika mkutano wa mwaka wa Kamati za Bunge za
Hesabu za Serikali kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya
Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha
Arusha AICC Septemba 2, 2013.

Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na washiriki wa Mkutano wa Mwaka
wa Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali kwa Nchi Wanachama wa
Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) baada ya kufungua
mkutano wao kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha AICC
Septemba 2, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Post a Comment