Rais Kikwete amemteua Bi. Jacqueline Maleko kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade

 

Telephone: 255-22-2114512, 2116898
press@ikulu.go.tz            
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120, 
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Jacqueline M. Maleko kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE).

Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) Balozi Ombeni Y. Sefue, uteuzi huo ulianza Septemba 10, mwaka huu, 2013.

Kabla ya uteuzi huu, Bi. Maleko alikuwa Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Masoko, Wizara ya Viwanda na Biashara, kabla ya kuteuliwa kukaimu nafasi hiyo ya Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade.
“Mwisho”

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
DAR ES SALAAM.

18 Septemba, 2013

Post a Comment

Previous Post Next Post