
Mshindi wa shindano la tano la Project fame Mkenya Ruth Matete ameomba radhi kutokana na vazi alilovaa wakati akiimba kwenye fainali za shindano hili mwaka huu, fainali ambazo zilifanyika weekend iliyopita Nairobi Kenya.
Ruth ambae ni kiongozi wa timu ya kusifu na kuabudu kwenye kanisa la House of Grace, aliomba msamaha kupitia page yake ya twitter kwa kile kinachoonekana na baadhi ya watu kwamba ni vazi lililopitiliza mipaka kwa mtu kama yeye.

Post a Comment