Kikosi
kazi cha Skylight Band kikishambulia jukwaa ndani ya kiota cha Thai
Village Masaki jijini Dar huku shabiki wao akipata Ukodak mbele ya
jukwaa.
Joniko Flower akichana mistari huku wenzake wakionyesha umahiri wao wa kusebeneka.
Mary Lucos a.k.a Mama K akifanya yake jukwaani.
Kipaji
kipya cha Skylight anayejulikana kwa jina la Done kwa mara ya kwanza
akipagawisha mashabiki wa Band hiyo sambamba na Mary Lucos juma
lililopita, njoo leo ushuhudie kipaji chake.
Divas wa Skylight Band waki-rock stage ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Sam Mapenzi akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band……ni mwendo wa SKELEWU.
Pichani juu na chini mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka kwa dancing floor.
Mchezaji
mpira wa zamani Idi Baka akiwa na familia yake kwenye kiota cha Thai
Village Masaki wakishuhudia Live burudani ya Skylight Band.
Hapana chezea Skylight Band.
Mheshimiwa
Bundala kama kawaida yake lazima avue shati na kubaki na vesti.Picha
akiwa na vijana wake wakiji enjoy na Skylight Band.
Mashabiki
wa Skylight Band wanaosheherekea siku zao za kuzaliwa kila Ijumaa
hupata fursa ya kuimbiwa wimbo maalum wa Happy Birthday.
Birthday Girl (mwenye gauni la pink) akipongezwa na ndugu, jamaa na marafiki.
Wakili
mpya na mshiriki mkubwa wa Skylight Band Luhano Lupogo akifungua
Champagne yake huku Skylight Band ikimwimbia wimbo maalum wa kumpongeza
mara baada ya kupewa usajili wa kuwa wakili na Jaji Mkuu wa Tanzania
ambapo alikuwa ni miongoni mwa mawakili 500 walioapishwa juma lililopita
kwenye viwanja vya Karimjee Hall jijini Dar.
Congratulations
brother……Dr. Sebastian Ndege na Eddie Maulanga wakimpongeza mdau Wakili
Luhano Lupogo na kupata Ukodak wa pamoja.
Wakili Luhano Lupogo akiwa na my love wake.
Sam Mapenzi wa Skylight Band, Msanii wa Bongo Flava Amini, Ommy Dimpoz pamoja na Lubea wakipata Ukodak.
Fans wa Skylight Band wakipata Ukodak.
Mdau
mkubwa na mshirika wa Skylight Band Gerald Kilimo akionyesha
complimentary zake alizozawadiwa na Band hiyo kama shukrani ya kuwa na
mahudhurio mazuri na sapoti kubwa kwa Band hiyo…….Kulia ni Rappa Joniko
Flower akishow love na mdau huyo.

Mdau Gerald Kilimo akisebeneka



















Post a Comment