![Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati) akifuatana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis,(kulia) baada ya kuwasili katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam, katika hafla ya harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM kufanikisha Matembezi, ya vijana yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/12/IMG_3424.jpg)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati) akifuatana na
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis,(kulia) baada ya kuwasili
katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es
Salaam, katika hafla ya harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM
kufanikisha Matembezi, ya vijana yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar,[Picha
na Ramadhan Othman, Ikulu.]
![Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, akisalimina na Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya matembezi ya Vijana, Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum Machano Othman Said, mara alipowasili katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam, katika hafla ya harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM kufanikisha Matembezi, ya vijana yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/12/IMG_3417.jpg)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, akisalimina na Mwenyekiti wa
Kamati ya maandalizi ya matembezi ya Vijana, Waziri asiyekuwa na Wizara
Maalum Machano Othman Said, mara alipowasili katika
ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam, katika hafla ya harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM kufanikisha Matembezi, ya vijana yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam, katika hafla ya harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM kufanikisha Matembezi, ya vijana yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
![Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akitoa tamko lake la kuichangia Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM,(UVCCM) katika hafla ya Harambee kufanikisha matembezi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika katika Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam, (kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/12/IMG_3453.jpg)
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akitoa tamko lake la
kuichangia Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM,(UVCCM) katika hafla ya
Harambee kufanikisha matembezi katika maadhimisho ya miaka 50 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyofanyika katika Bwalo la Maafisa wa
Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam, (kulia) Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
![Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiagana na Naibu katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, baada ya kumalizika kwa hafla ya harambee ya kuchangia matembezi ya Maadhimisho miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, katika Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam.{Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/12/IMG_3529.jpg)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiagana na Naibu katibu Mkuu UVCCM
Zanzibar Shaka Hamdu Shaka, baada ya kumalizika kwa hafla ya harambee
ya kuchangia matembezi ya Maadhimisho miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar, katika Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es
Salaam.{Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.]
Post a Comment