Angalizo Muhimu kutoka kwa Mnyika MB - Soma hapa

Angalizo Muhimu: Mnaojadili habari iliyochapwa katika gazeti la Mwananchi kwamba Uchaguzi wa CHADEMA ni mwaka 2015, zingatieni kwamba si kweli. Mara zote nimesisitiza Uchaguzi utakamilika ndani ya mwaka 2014.

Post a Comment

Previous Post Next Post