Mawaziri
walioteuliwa kwenye mabadiliko ya baraza la mawaziri waliripoti ofisini
January 22 2014 ambapo hii post inawahusu naibu waziri wa fedha Mwigulu
Nchemba alivyopokelewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dar es
salaam.
Tukio hili limefanyika nje ya Wizara ya Fedha ambapo Wafanyakazi
walijitokeza kuwalaki mawaziri wapya walioteuliwa na Rais Kikwete wiki
iliyopita ili kujaza nafasi za mawaziri wanne zilizokuwa wazi kutokana
na kujiuzulu pamoja na kifo cha waziri wa fedha marehemu Mgimwa.
Mwigulu
Nchemba aliambatana na Mh.Malima ambaye nae ni naibu waziri wa fedha
ambapo hafla ya Kuwapokea Mawaziri hao Wapya imekamilika jioni ya
January 22 2014.

Post a Comment