
Yameandikwa mengi kuhusu hali ya ukosefu wa staha na heshima na matumizi ya maneno ya kukera inayoendelea kwa baadhi ya wabunge katika vikao vinavyoendelea bungeni ("Mjengoni") Dodoma. Mwanazuoni amejaribu kupitia vyanzo mbalimbali vya habari na kukusanya hatimaye kuorodhesha baadhi ya nukuu ya maneno ya kukera zinazotumiwa na baadhi ya wabunge hao....
1. ‘‘Kuna wabunge ambao wana mimba
2. "Sugu naomba unyamaze. Mimi ndiye nazungumza. Mimi siongei na mbwa,naongea na
mwenye mbwa" -Mbunge wa Kondoa Kusini (CCM),Juma Nkamia
3.“UDOM (Chuo Kikuu cha Dodoma) kuna udini wa hali ya juu, wanafunzi wa dini tofauti hawalali chumba kimoja.” -Mbunge wa Rombo (CHADEMA),Joseph Selasini
4."Kwa kuwa wanaume wengi wanabaka, kifunguliwe kituo wafundishwe kutongoza.” -Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Leticia Nyerere
Post a Comment