KUMEKUCHA BALLON D'OR ZURICH, MESSI NA RONALDO WAANZA KUTAMBIANA KWA VIMWANA KWANZA

Katika zulia jekundu: Cristiano Ronaldo (kushoto) akiwa na mpenzi wake, Irina Shayk na mtoto wao wake wa kiume katika sherehe za tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia, Ballon d'Or zinazoendelea hivi sasa mjini Zurich, Uswisi.

Uso wa mbuzi: Lionel Messi na Antonella Roccuzzo wakiwasili kwenye sherehe Ballon d'Or akiwa amekasirika

Franck Ribery naye amefika mpenzi wake, mwanamitindo Adriana Lima

Post a Comment

Previous Post Next Post