Mama
Flora Mtegoa, mzazi wa muigizaji Marehemu Steven Kanumba, akionekana
mwingi wa furaha leo baada ya kukutana uso kwa uso na wasanii wa
nyumbani Bukoba leo kwenye Fukwe za Kiroyera ziwa Victoria. Wasanii hao
pamoja na kukutana na Mama Kanumba walikuwa kwenye matayarisho ya
Uzinduzi wa Filamu yao mpya.
Post a Comment