MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2013 YAMETOKA

Napenda kuchukua nafasi hii kuwafahamisha wasomaji wa blog hii kuwa matokeo ya kidato cha pili 2013 yametoka lakini utaratibu wa serikali ni kuwa matokeo hayo hayawekwi kwenye mtandao na badala yake yametumwa tayari kwenye kila shule ya sekondari hapa nchini

Hivyo basi ni vyema wahusika wakafika kwenye shule zao wanazosoma ili myaone hayo matokeo

Post a Comment

Previous Post Next Post