
Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli
ambaye pia ni mwenyekiti kamati ya bunge ya mambo ya nje akifurahia
jambo kutoka kwa mwenyekiti wa ccm tawi la Washington DC George Sebo
aliyekwenda kumtembelea Mh Lowassa ofisini kwake jijini dar es salaam.
Post a Comment