Mzungu Kichaa Amshukuru Mungu Kupata Mtoto

MZUNGU
Ni maneno aliyoyaandika msanii anayefahamika kama Mzungu Kichaa masaa machache yaliyopita mapema leoo…Furaha ndiyo neno linaloweza kuielezea hali anayojisikia mkali huyu. Ni baada ya kufanikiwa kupata mtoto wa kike kwa jina anaitwa “Olivia”
BABY

Mtoto Olivia
“Jina lake ni Olivia aka Lil Kichaa. Mum and dad are also in good health”, aliandika Mzungu kichaa kupitia ukurasa wake wa Facebook
TOTO

Hongera na pongezi nyingi kwako Mzungu Kichaa kwa zawadi hiyo nzuri toka kwa muumba. Cute little Olivia

Post a Comment

Previous Post Next Post