
Wachezaji
wa timu ya Simba SC.na KCC wakikaguliwa kabla ya mechi ya Fainali ya
Kombe la Mapinduzi kuanza mapema leo kwenye Uwanja wa Amani
Zanzibar,ambapo tayari mechi imemalizika huku mnyama akiwa amechezewa
sharubu kwa kufungwa bao 1-0 na timu ya KCC ya Uganda
Baadhi
ya viongozi na mashabiki wa Timu ya KCC ya Uganda wakifuatilia mchezo
huo ambao umemalizika muda mfupi uliyopita huku timu ya KCC ikichukua
Kombe la Mapinduzi kwenye uwanja wa Amani Zanzibar.
Wachezaji wa timu ya KCC ya Uganda wakishangilia baada ya mchezo huo kumalizika huku wakiwa wameshinda bao 1-0.

Baadhi ya mashabiki wakikiwa kwenye jukwaa kuu.
Habari/Picha:Patricia Mateja/Zanzibar
Habari/Picha:Patricia Mateja/Zanzibar


Post a Comment