
Hizi picha zilichukuliwa wakati P-UNIT wasanii kutoka Nairobi Kenya walipokuwa South Africa wakitengeneza video yao mpya iliyopewa jina la LOVE. Nikiongea nao kwa njia ya simu waliniambia kuwa video hii imeshutiwa na OGOPA VIDEO chini ya Dir Lucas kwa hiyo wanawaomba watanzania kuipokea video hii iliyojaa warembo wakila aina kutoka Bondeni kwa Madiba.

Post a Comment