Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kulia) akibonyeza
kitufe cha kampyuta kama ishara ya kuzindua rasmi bidhaa mpya kwa
wateja wao ya NBC Direct, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni maofisa
wa beni hiyo wa pili kushoto ni, Sarah Laiser-Sumaye, Mary Kapeja, Andrew Massawe na, Mussa Jallow.
Mkuu
wa Hduma Rejareja za Kibenki, Mussa Jallow akizungumza na wateja na
waalikwa wengine katika uzinduzi huo akieleza faida mbalimbali
zinazopatikana katika bidhaa ya NBC Direct.
Baadhi ya maofisa wa NBC na wageni wengine waliohudhuria hafla ya uzinduzi hnuo jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kulia) akisamiliama na
baadhi ya wagewnzi walihudhuria hafla ya uzinduzi wa NBC Direct jijini
jana.
Post a Comment