Hili
ni gazeti lililotoka November 2 2012 ambapo lilitoa picha za Ray C
alizopigwa muda mfupi baada ya kutumia dawa za kulevya baada ya kunaswa
na Mapaparazi.

Baada ya kuweka hiyo picha hapo juu, Ray C alishea na watu wake on instagram kuhusu logo za foundation yake ya kusaidia watu waliopotea kwenye dawa za kulevya.

Post a Comment