
Rapa
Joniko Flower akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo
pichani) huku wenzake wakisebeneka ndani ya kiota cha Thai Village
Ijumaa iliyopita pamoja na Ijumaa zingine za kila wiki.
Mdau wakijiachia na mrembo wa kizungu…Chezea Skylight Band wewe….ni Balaaa!
Mashabiki wakila raha za Skylight Band! Mguu wa kushoto mbele wa kulia nyuma……..!
Sam
Mapenzi wa Skylight Band akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo
sambamba na Joniko Flower, Mary Lucos pamoja na Sony Masamba Ijumaa
iliyopita kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Watuache sie kwa raha zetu…warembo wakisakata burudani ya Skylight Band.
Aneth
Kushaba AK47 na Winfrida Richard wa Skylight Band wakiwapa raha wapenzi
wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village.
Pale mzungu asiposikia la mwazini wa la mnadi sala……burudani ikikolea basi tena……Skylight Band iko juu…!
Hashim Donode na Winfrida Richard wakifanya yao jukwaani kuhakikisha mashabiki wao wanapata burudani adhimu.
Palikuwa hapatoshi…Tukutane tena leo jioni kuanzi saa 21:30 usiku.
Petit
Money akishow love na star wa Bongo Movie Jacqueline Wolper a.k.a
Wolpergambe ikiwa ni mara yake ya kwanza kushuhudia burudani ya Skylight
Band.
Gelly wa Rhymes akipata Ukodak na Sister wake All the way from Sweden.
Gelly
wa Rhymes pamoja na Dully Sykes a.k.a Mr. Misifa wanakwambia kitambi
noma…..ndani ya kiota cha Thai Village Ijumaa iliyopita.
All
the way from Mwanza……DVJ Frank wa Club Jembe ya Skylight Beach Resort
ya jijini Mwanza (mwenye ya mistari) wakipagana Ukodak wa kumbukumbu na
marafiki zake walipokuja kula bata na Skylight Band.
Mdau
Neema Mbuya alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa na kujumika na
Skylight Band Ijumaa iliyopita, akiwa ameambatana na msururu wa warembo
waliowahi kushiriki taji la Miss Tanzania miaka iliyopita.
Birthday Girl Neema Mbuya (kulia) na marafiki zake ndani ya Thai Village.
Birthday Girl Neema Mbuya akiimbiwa na marafiki zake pamoja na Skylight Band wakati wa kukata cake.
Birthday Girl Neema Mbuya awalisha mashosti zake.
Usikosee Ijumaa hii unakosa kuosha macho na warembo wa ukweli…!
Ikaja zamu ya vijana wa Skylight Band.
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akilishwa cake na Birthday Girl Neema Mbuya.
Pichani juu na chini ni Ukodak moment na wadau wanguvu wa Skylight Band.
Familia ya Skylight Band…kutoka kushoto Joshua Ndege, Justin Ndege, Eddie vied, na Luhano Lupogo.
Mdau
Faraja Fares (kushoto) akishow love na mrafiki zake kwenye kiota cha
Thai Village ilipokuwa inatumbuiza Skylight Band Ijumaa iliyopita.
Winfrida Richard pamoja na mdau Emmanuel Francis wakipata Ukodak.
Msanii wa Bongo flava Sheta akishow love na Wasiwasi Mwambulambo wakati burudani ya Skylight Band ikiendelea.
Lubea wa Skylight Band akishow love na Diva wa Bongo Flava Linah Sanga pamoja na Petit Money.































Post a Comment