
9
Wasanii manguli wa Tanzania ambao majina yao yanaanzia na J,
Juma Mchopanga aka Jay Mo, Joseph Haule aka Profesa Jay na Juma Cassim
ana Nature wameingia studio kufanya ngoma mpya iitwao ‘JWTZ’. Wimbo huo
pamoja na video yake vimefanyika kwenye studio za Williamz Visions chini
ya mtayarishaji Mike Mwakatundu aka Mike T. Tazama video inayoonesha
wakali hao wakiwa wamevalia nguo halisi za kijeshi pamoja na zana
mbalimbali za kivita huku wakipewa kampani ya wanajeshi hali wa Jeshi la
Wananchi la Tanzania.
Post a Comment