Na Mwandishi wetu
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Jakaya Kikwete, atalihutubia bunge maalum la katika Ijumaa ya Januari 21 saa
10:00 jioni.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa
bunge maalum, hotuba ya Rais Kikwete ndio itakayoashiria wajumbe kuanza kazi ya
kuijadili rasimu.
Taarifa hiyo imesema uteuzi wa wajumbe wa Kamati
za bunge maalum utafanyika Ijumaa asubihi.
Semina kuhusu rasimu ya katiba itafanyika kesho
ikitanaguliwa na semina kuhusu kuzifahamu kanuni inayofanyika leo.
Kuhusu wajumbe ambao bado hawajaapishwa taarifa hiyo imewataka kufika Idara ya shughuli za bunge maalum kwa ajili ya kutambuliwa.
Post a Comment