KATIBU MKUU WA CCM AMNADI RIDHIWANI KIKWETE KATIKA KATA ZA UBENA ZOMOZI LEO

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwa amemuinua mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete ikiwa ni ishara ya kumnadi kwa wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha,wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.Picha zote na Othman Michuzi,Globu ya Jamii - Chalinze.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana (katikati) akiwa amesimama kusikiliza kwa makini sera za  Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete (hayupo pichani) alizokuwa akitoa kwa Wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha,wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.
Wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi wakiwa wamejikinga kwa mvua chini ya paa la moja ya Nyumba zilizopo kwenye Kata hiyo wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi na wanaCCM wa Kata ya Ubena Zomozi huku akishangilia kwa shangwe,leo Machi 24,2014.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akimwaga sera zake kwa Wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.
Wananchi wa Kata ya Ubena Zomozi wakifatilia kwa makini sera za Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete huku wakiwa wamejikinga kwa mvua kwa kutumia viti,wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM zinazoendelea katika Kata mbali mbali ndani ya jimbo la Chalinze.

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Ndg. Abdulrahman Kinana na Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete wakimpongeza Mbunge wa Jimbo Jimbo la Bagamoyo,Dkt. Shukuru Kawambwa baada ya kutoka kuwasalimia wananchi wa Kata ya Msolwa ndani ya Jimbo la Chalinze.

















Post a Comment

Previous Post Next Post