Kutana na kijana huyu kutoka MWANZA aliyechora picha ya LULU (@OfficialLuluM).


blogger-image--239403320
Anajulikana kama Samson Cyper, Kwa jina la Kisanaa ni Cyper255 toka Jijini Mwanza,  Alianza kuchora tangu akiwa ana miaka 10 na aliiweka Sanaa ya Uchoraji Pembeni na kujikita zaidi na Masomo. Mwaka huu rasmi kaingia tena kwenye hii sanaa ya Uchoraji. Anaamini atafika mbali akipata support japo changamoto ni nyingi anazokumbana nazo.
Anasema ilimchukua Masaa 3 kuikamilisha hiyo picha ya LULU.
Unaweza kuona kazi zake zingine kupitia akaunti zake za Kijamii.
INSTAGRAM: @cyper255.
FACEBOOK: Samson Cyper.
Twitter: @Cyper255
IMG_12217410349768
Hii ndio picha aliyoichora kijana huyu Cyper255

Post a Comment

Previous Post Next Post