MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA SHAMBA LA WAZIRI MKUU DODOMA

PG4A3873 
 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanachuo wa Chuo cha Nyuki cha Tabora waliotembelea shamba lake lililopo Zuzu, Dodoma kujifunza ufugaji bora wa nyuki  Machi 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A3916 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd kukagua zao la zabibu  katika shamba lake  lililopo Zuzu , Dodoma Machi 22, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A3921 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kuhusu  zao la migomba kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd ambaye alitembelea shamba lake lililopo Zuzu mjini Dodoma Machi 22, 2014. Wapli kulia ni Mbunge wa Simanjiro, Christopher ole Sendeka na kulia ni Majasiliamali wa Dar es salaam, Alphonce Buhatwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

Previous Post Next Post