David Moyes amejipunguzia presha baada ya kushinda mara mbili lakini
timu yake ilichapwa na Man city ndani ya Etihad Stadium mwanzoni mwa
msimu huu. Ila tunataka kuona nini timu yake itafanya leo.
David Moyes atajitahidi kuhakikisha timu yake inashinda leo na
kuwabania Man City kuutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza, wakati huo
huo atakuwa anatarajia kulipiza kipigwa cha mbwa timu yake ilichopigwa
ndani ya uwanja wa Etihad Stadium mwezi wa tisa walipochapwa 4-1
Katika mechi ilizopita Man United iliwashinda Olympiakos 2-0.
Post a Comment