Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akizindua tawi
jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es
Salaam, litakalotoa huduma kwa kuzingatia maadili ya kiislamu,ambapo
watapata mikoipo isiyokuwa na riba .Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa KCB
Tanzania Moezz Mir, wapili kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa benki hiyo
Dr.Edmund Mndolwa na wakwanza Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Shariah wa
benki hiyo Uzairu Athuman.
Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi akifunua kitambaa kuashiria
uzinduzi rasmi wa tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara
ya Lumumba jijini Dar es Salaam.
Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi akiteta jambo na Mwenyekiti
wa benki hiyo Dr.Edmund Mndolwa mara baada ya kuzindua tawi jipya la
Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya Lumumba jijini Dar es Salaam.
Rais
mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi (Katikati)akimkabdhi hundi
yenye thamani ya shilingi Milioni kumi,Mwenyekiti wa yatima Group Trust
Fund Winfrida Lubanza kwaajili ya kuendeleza kilimo cha kisasa wakati wa
uzinduzi tawi jipya la Benki ya KCB Shariah Lililopo barabara ya
Lumumba jijini Dar es Salaam.kushoto ni ni Mwenyekiti wa bodi wa benki
hiyo Dr.Edmund Mndolwa na watatu toka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa
KCB Tanzania Moezz Mir.
Post a Comment