NANI ZAIDI KWA UIMBAJI KATI YA OMMY DIMPOZ NA DIAMOND - PIGA KURA HAPA

kimani

 Nani zaidi ni kipengele kipya kilichoanzishwa katika blog yako pendwa ya Hisia za Mwananchi, ili mashabiki/wapenzi wa fani mbalimbali kuweza kupiga kura na kuchagua nani zaidi kwa muono wake katika vipengele tofautitofauti0katika fani mbalimbali kama vile;- MZIKI AINA ZOTE, MAIGIZO AINA ZOTE, WANASIASA, MAKAMPUNI, HATA WATU BINAFSI - Tutakuwa tunapambanisha kila Jumapili( Kwa wiki mara moja)
LEO TUMEANZA KWA UPANDE WA MIONDOKO YA BONGO FLEVA KATI YA OMMY DIMPOZ NA DIAMOND PLAT - PIGA KURA HAPA CHINI

NANI ZAIDI KWA UIMBAJI KATI YA DIMPOZ NA DIAMOND
 
 
  
pollcode.com free polls 




 AU HAPA



NANI ZAIDI KWA UIMBAJI KATI YA DIMPOZ NA DIAMOND
  
pollcode.com free polls 

 

Post a Comment

Previous Post Next Post