Picha LIVE Kutoka Kalenga Hivi Sasa:Mgombea Wa Ubunge Jimbo la Kalenga- CCM Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wanachama na wapenzi wa CCM baada ya matokeo kuonyesha ameshinda kwa kishindo Kalenga.

Mashabiki wa CCM wakimbeba aliyekuwa mgombea wa CCM jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini Godfrey Mgimwa, baada ya kupata matokeo ya awali ya CCM kuongoza kata 11 kati ya 13 katika matokeo ya uchaguzi uliofanyika leo. Shamrashamra hizo zilifanyika Ofisi ya CCM mkoa wa Iringa
Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wanachama na wapenzi wa CCM baada ya matokeo kuonyesha ameshinda kwa kishindo Kalenga.
 Mashabiki wa CCM wakimwayamwaya kwa furaha baada ya kupata matokeo hayo ya awali.
--
Matokeo ya Awali yasiyo rasmi CCM yaongoza

TOSA no.1 CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0

Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0

Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0



Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0

Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0

Zahanati  CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1



Ifunda

Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0

Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1

Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0



Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0

Ikungwe A CCmM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0

Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA 0

Magunga CCM 184 ,Cadema 4 CHAUSTA1

Wasa CCM 149,Chadema 15 CHAUSTA 0

Usengelidete CCM 260,Chadema 46,CHAUSTA O 
 

Post a Comment

Previous Post Next Post