HomeKITAIFA ANGALIA PICHA AJALI NYINGINE YATOKEA MBEYA NA KUUA 1 Hisia April 22, 2014 0 Ajali ya magari matatu ya mizigo imetokea Vwawa Wilaya Mbozi mkoani Mbeya imesadikika dereva wa gari aina ya tipa amefikwa na mauti papo hapo na wengine kujeruhiwa vibaya. Kwa habari kamili usikose kutembelea mtandao huu. CHANZO CHIMBUKO LETU
Post a Comment