
Ingawa hajasema mpaka sasa anashoot video ya wimbo wake gani lakini kupitia account yake ya Instagram mwanadada Victoria Kimani msanii kutoka kule Naija yuko nchini Uganda akishoot video yake mpya. Hapa nimeona niwaonjeshe kidogo picha hizi ili kupata hata mwangaza ukiwa kama shabiki wake na mdau wa mziki wake

Post a Comment