
“Studio tht..wit Dimooond..Ay..n Dully Sexxy…..ngoma ikishuka lazima watu wangu watafurahi.kaaz kaaz hom bwooy kaaz kaazz..hahahaha..yeeaahhhhh”
GongaMX News Team tulifanikiwa kumpigia simu ili kuweza kutupa maelezo zaidi ya ngoma hiyo maana kwa usomaji wetu na uelewa wetu kutokana na sentensi hiyo ni kuwa ngoma hiyo ilikuwa inapikwa kwa wakati huo, ila alipokea na kusema yupo busy kwa wakati huo, na hatukuweza kuongeleea swala hilo. ChiddiBenz amekua kimya kwa mda mrefu na ngoma hiyo kama ataiachia inatarajiwa basi kuwa ya maana na itabamba kutokana na watu aliowashirikisha wote kuwa wakali.
Post a Comment