Didier Drogba amezindua nguo zake za ndani kwaajili ya wanaume
ambapo asilimia ya mauzo ya kila moja zitaenda kwenye taasisi yake ya
msaada.
Mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea ameungana na kampuni ya Marseille,
Ufaransa iitwayo HOM kutengeneza nguo hizo zitakazoingia sokoni May 1.
Kupitia Instagram, mchezaji huyo mwenye miaka 36 aliandika:
‘I’m very proud to announce the launch of my underwear brand. The
first underwear brand that will be launched to support a foundation, my
foundation, The didierdrogbafoundation. ‘By producing my own line of
underwear I’m able to achieve two goals; to design a fashionable men’s
underwear range, and to create a product that will directly support my
charitable foundation – to aid in healthcare and education in the Ivory
Coast.’
Post a Comment