
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha katika kikao cha
utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai hadi Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Khamis
Mussa Omar, akiwasilisha mpango wa matumizi ya fedha katika kikao cha
utekelezaji wa mpamgo wa kazi wa Wizara hiyo katika kipindi cha robo
mwaka kutoka Julai -Machi 2013/2014,katika ukumbi wa mikutano Ikulu
Mjini Zanzibar leo asubuhi, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) Naibu
Katibu Mkuu Juma Ameir Hafidh.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment