Exclusive:- Arsenal Wenger asisitiza kuiacha Arsenal kama hatafikia malengo

Wenger ready to quit if Arsenal do not meet his targetsMeneja wa timu ya Arsenal, Arsenal wenger amesema ataiacha kufundisha Arsenal kama hatatwaa kombe la FA na Kumaliza katika Top four, katika ligi kuu England, Hii ni mara ya kwanza kocha huyo kusema hayo baada ya kuifundisha timu hii ndani ya miaka 18.

Post a Comment

Previous Post Next Post