FLAVIANA MATATA NDIO MTANZANIA WA KWANZA KUDHIBITISHWA KUWA MMILIKI HALILA WA FACEBOOK ACCOUNT

Flaviana Matata amekuwa mwakilishi mzuri wa Tanzania kwenye

 nchi mbalimbali alizofanya kazi kama Ufaransa, Hispania na 

Marekani ambako anaishi sasa hivi New York.

Flaviana amethibitishwa rasmi na facebook kwamba hiyo account

 yenye hicho kitiki hapo juu ndio account yake pekee na

halali hivyo ule utapeli ambao ulikua unafanywa kwa kutumia account 

nyingine feki za Flaviana utaishia hapa.

Flaviana anakua Mtanzania wa kwanza ninaemfahamu kuwa verified 

na facebook ambapo tayari kwenye account yake ya twitter yuko 

verified pia ambapo Watanzania wengine ambao wako verified

 twitter ni President Jakaya, Hasheem, Ay, mawaziri January 

 Makamba na Lazaro Nyalandu

Post a Comment

Previous Post Next Post