Francis Cheka na
Francis Miyeyusho siku ya Jumamosi tarehe 12 April 2014 katika ukumbi wa
PTA uliopo SABA SABA Grounds Kurasini mjini Dar Es salaam, mabondia
hao ambao wanawakaribisha Mabondia Gavad Zahrevand (Iran) ambae
atapambana na Francis Cheka (Tanzania) na bondia Sukkasem Kietyongyuth
(Thailand) ambae atazichapa na Francis Miyeyusho (Tanzania).

Mpambano huo wa round 10 ambao utasindikizwa na mabondia Francis
Cheka na Gavad kutoka Iran ambao utakuwa wa round 8 ambapo pia kutakua
na mpambano mwingine wa utangulizi kati ya mabondia wengine kama Ibrahim
Class ambae atapambana na Mustafa Dotto ambao utakua mpambano wa round
6.
Post a Comment