
“Montana hit lunch at Ruth’s Chris steakhouse in Manhattan Friday, before heading to his New Jersey home with Khloe. It’s the same house Trina [his ex-girlfriend] used to live in with him,” says our source.

Female rapper Trina na Montana walikua wapenzi kwa muda mrefu mpaka hivi karibuni ambapo Rapper huyo ameanza kuonekana na were Khloe Kardashian, na Kim Kardashian anapinga swala hilo sababu TRINA ni rafiki yake wa siku nyingi na yeye anaona sio vizuri kwa wapenzi hao kuwa pamoja.
“Kim and Trina are good friends … Khloe and Trina were friends, and Kim is very upset over all of this,” says our insider.

Inaonyesha kabisa kuwa Kloe amejifunza sana baada ya kuonekana amevaa chain yenye kidani kilichoandikwa “Karim” jina halisi la rapper huyo ambaye ni mzaliwa wa nchini Morocco. Hii inaonyesha dhahili mapenzi yake baada ya kuchora tattoo iliyokua na herufi za kwanza za majina ya ex husband wake (L O – Lamar Odom’s) na hivi sasa mekuja na style ya Chain.
Post a Comment